pamoja na kuwa jina limeendelea kubaki pale pale, mtu mzima Fat Joe amepunguza kilo 40 katika mwili wake, ambapo sasa anauwezo wa kuvaa t shirt XL. "nashangaa sana attention ninayoipata kwa sasa yaani its crazy...wiki mbili zijazo CNN watakuwa kwangu, sanjay gupta (mtangazaji wa kipindi kinachisu afya (CNN) na wengine kibao lakini mimi nimejaribu kupunguza uzito kwa sababy familia yangu, niweze ku take care ya familia yangu, na niishi maisha nilipangiwa kuishi". amesema Fat Joe.
swali ni je? ataendelea kutumia jina hilo ama atabadilisha.?