FURAHIA MAUJANJA BWANA!!!!!

FURAHIA MAUJANJA

Wednesday, August 24, 2011

JAY Z NA BEYONCE: SECOND HIGHEST PAID CELLEB COUPLES

Jay and Bey both put out highly anticipated albums this year and all their hard work paid off! The “hottest chick in the game” and the dude on the throne came in at at number two on Forbes’ list of the highest paid celeb couples. The dynamic duo pulled in a combined $72 million between May 2010 and May 2011. Fairly even split too. Beyonce contributed $35 million to that total.

KWA MARA YA KWANZA FAT JOE AITIKISA CNN.

pamoja na kuwa jina limeendelea kubaki pale pale, mtu mzima Fat Joe amepunguza kilo 40 katika mwili wake, ambapo sasa anauwezo wa kuvaa t shirt XL. "nashangaa sana attention ninayoipata kwa sasa yaani its  crazy...wiki mbili zijazo CNN watakuwa kwangu, sanjay gupta (mtangazaji wa kipindi kinachisu afya (CNN) na wengine kibao lakini mimi nimejaribu kupunguza uzito kwa sababy familia yangu, niweze ku take care ya familia yangu, na niishi maisha nilipangiwa kuishi". amesema Fat Joe.
swali ni je? ataendelea kutumia jina hilo ama atabadilisha.?

JARDA AND MARK ANTHONY REPORT: WILL SMITH WALKED IN ON THEM!

A suspicious Will Smith paid a surprise visit to Jada Pinkett Smith and found her with Marc Anthony ... this according to a new report.

In Touch Weekly claims in early August Will had become increasingly suspicious that his wife was having an affair with her "HawthoRNe" co-star Marc Anthony and secretly flew home from a movie shoot. The mag claims Will walked in the house, found Marc Anthony and Jada together and left the house crying.

Reps for Will and Jada said Tuesday Jada had not been unfaithful to Will, specifically mentioning Marc Anthony in the denial. A source close to the couple tells TMZ ... Marc was at Jada's home, but in April not August, when he went over to look at a DVD.
In Touch claims Jada and Will have been living separate lives for months. As we reported, sources close to the couple insist they have not separated, but there are significant problems in their marriage.
Will Smith and Jada Pinkett Smith are having significant problems in their marriage, but they have NOT made a decision to separate ... at least not yet -- this according to sources connected with the couple.

Reports have been swirling that the couple has separated. We're told it's "definitely a possibility" but they haven't pulled the trigger. In fact, we've learned Will, Jada and their kids are going away together soon -- as a family. Our sources would neither confirm nor deny if the trip is a last ditch effort to save the relationship.

We also asked our sources about the somewhat curious statement from Will and Jada, that their marriage is "intact." Specifically, why didn't they go the more traditional PR route and say they're still in love and committed to each other? Our sources privately said, the language was carefully constructed.
Will Smith and Jada Pinkett Smith just released a joint statement SHOOTING DOWN a report that they have separated.
The statement reads, "Although we are reluctant to respond to these types of press reports, the rumors circulating about our relationship are completely false."
The two add, "We are still together, and our marriage is intact."


Tuesday, March 29, 2011

FURAHIA MAUJANJA

BEYONCE AMTEMA MANAGER AMBAE PIA NI BABA YAKE

najua mpaka sasa utakua unafahamu kuwa beyonce kamfukuza kazi baba yake kama manager wake, lakini hicho sio kitu kibaya sasa ni kawaida kama utakuwa ulifatilia historia. anayways beyonce ametoa taarifa kuwa "namshukuru sana baba yangu kwa vyote alivyonifundisha, nimekuwa nikiwaona wote yeye pamoja na mama yangu wakimanage biashara zao wenyewe  na kufanikiwa, ni baba yangu maisha na nampenda sana na nitafata nyayo zake

tetesi zimeshaanza kuzagaa kuwa Jay z na Roc Nation watachukua majukumu ya kummanage mke wake Beyonce kwa sasa. sijui lakini, ruhana na Beyonce wote kusimamiwa kazi zao na Jay z?...

NI KUMBUKUMBU YA MIAKA MITANO SASA TANGU FATHER NELLY NELLY


Leo hii ni kumbukumbu ya marehem Nelson  Chrizostom  Buchard (father nelly) ambae alifariki tarehe 29-03-2006,baada ya kuchomwa kisu mpaka kufariki, ni miaka mitano sasa toka Father Nelly alipotutoka duniani, ni nguzo iliyokuwa ngumu kabisa katika kundi la Xplastaz na mpaka leo ataendelea kukumbukwa.


na hii ni moja kati ya ngoma alizozitoa wakati wa uhai wake

Monday, March 28, 2011

WASHINDI WA TUZO ZA KILI TANZANIA MUSIC AWARDS 2010

msanii Ben po  aliondoka na tuzo ya wimbo bora wa r&b, (nikikupata) kulia ni mbunge mwanadada Vicky kamata

mwamba himselfu anaewakilisha A town ameondoka na tuzo ya msanii bora wa hiphop, kushoto ni mdogo wake Nikki wa pili na Cpwa

kwanza naomba nimsifie kwa mavazi, suti ilimkaa na kumpendeza sana mtu mzima Cpwa, aliondoka na tuzo mbili ikiwa ni wimbo bora wa ragga / dance hall na video bora ya mwaka na wimbo wake wa Action

alifanya mauaji ya hatari pale ambapo kila category alioshindania alikua akipingiwa shangwe za hatari mtu Mzima 20% aliondoka na tuzo tano ikiwa ni mtunzi bora wa mwaka, msanii bora wa kiume wa mwaka, wimbo bora wa afropop (tamaa mbaya), mwimbaji bora wa kiume wa mwaka

JCB aliondoka na tuzo mbili, nyimbo bora ya kushirikisha (ukiskia paa) na wimbo bora wa hiphop (ukiskiapaa) pembeni mwenye suti ni Jay moe ambae alishirikiswa pia katika wimbo huo

the best producer on the planet kama anavyojiita, Lamar kutoka Fish crub cook out aliondoka na tuzo ya mtayarishaji bora wa mziki wa mwaka

khadija mwanamboka akimkabidhi mwanadada Linah tuzo ya msanii bora wa kike lakini pia alichukua tuzo ya msanii  mpya anaechipukia

Show love

Jocket and friend

Mc's of the day Millard Ayo na Penny

Kama ulikua humjui muite first lady mooshine

mzee wa wambele mbele wa nyuma nyuma, Ommy g na B12

big up lamar

wanawakilisha Leo Tena, kulia ni Gea Hhabib na Dina Marios

haina majotrooo

shangaziiiiiiiiiiiiii

diamond alippoachiwa stage kuperform, big up ur self maana jamaa anajua kucheza na stage


diamond, banana zoro na alikiba wakimpa mkono wa pongezi mzee mwanamziki mkongwe kutoka bendi ya msondo Mabella alieshinda tuzo ya hall of fame, baada ya hapo waliperfom wimbo wa mzee huyo sikumbuki unitwa nini mi nakumbuka pale wanaposema , tunatoana roho yarabii kwa mali alizoacha baba ha haaaaaaa was sooo funny

Friday, March 25, 2011

ZONE FAM KUNDI JIPYA KUTOKA ZAMBIA

Zone Fam is the Premiere Hip Hop Group in Zambia. Deriving their name from a studio they frequented in their earlier days 'The Zone' the group consists of six emcees that includes The Holstar,Al Kan-I, Dope G,Jay Rox,Yung Verbal and Thugga.
Zone Currently have two singles out titled "Mabhodlela (Bottles)" and Shaka Zulu On Em. Their debut album "The Bizness (Foreign Exchange) is set for released mid 2011.






KIMYA KUTOKA KENYA NDANI YA STUDIO ZA MJENGONI


Mchizi alikuwa member wa kikosi cha mizinga way back tangu 2002 sasa yuko bongo kwa ajili ya kumpa kuwapa sapot kikosi cha mizinga. USIKOSE

UZINDUZI WA KIKOSI CHA MIZIKI NDANI YA MAISHA CLUB

siku ya jumapili ya tarehe 27 ndani ya maisha club kikosi cha mizinga kikiongozwa na kala pina watazindua album yao inayoitwa MAISHA YANGU NYIMBO TOSHA, perfomance itatolewa na wasanii kibao ikiwa ni pamoja na Back  T kutoka Rwanda, Kimya kutoka Kenya, AY, FA, Madee, Godzilla, B.D.P na wengine kibao

Thursday, March 24, 2011

FLORIDA PUB MASAKI YAPIGWA MNADA

Leo hii mida ya saa sita nilikuwa nikipita maeneo ya masaki nikakutana na kundi la askari pmoja na raia wakipakia kila kilichokuwa ndani ya pub inayojulikana kama florida, nilipojaribu kufaham nini tatizo nikaambiwa kuwa alikuwa anadaiwa bank, kwa hiyo dizaini kama vitapigwa mnada





lori hili lilipakia vitu na kupeleka na kurudi zaidi ya mara tatu.

HAPPY BIRTHDAY MYLER

May you live long sweetheart

BAADA YA KAZI ILIKUWA NI FULL PARTY BIRTHDAY YA NCHA KALI




birthday boy ncha kali na Dina marios



shadeiyaaaaaa



Shadee,Allen,Fetty,Anod na Moonshine




kutoka kulia moonshine (first lady), Arnold kayanda, Allen, Shadeiya na fe'eh


fe'eh and b12 full kuwakilisha haina majotrooooooo


Natasha

huu ndio umenileta hapa, ha haaaaaaaaa Jerald handooo

maakuli partini sijuti

kutoka kulia ni Arnold Ncha kali, Lamar, B12 na Mully b

mamaa Moon shine aka first lady



Jffarayms, lamar and fe'eh



 birthday boy Ncha kali and fe'eh



Wednesday, March 23, 2011

BATOO / SO FINE

Batoo,Artist wa reggae danchall anakuambia huyu manzi yake ni "so  fine" katika pini hili alofanya pale noizmekah arusha lenye mzukawa kukufanya unyanyuke na kucheza."huu ni mmwaka tofauti na mingine kwa maana nime switch swagger kwa hivyo bas mafans wangu wa nguvu wakae tayari tayari kunipokea kitofauti coz style yangu mpya kabisa ya "rude rap" ndo itawateka mwaka huu...thanx sana kwa media zote hapa nyumbani zinazosupport muziki wangu" anasema "batoo"
SIKILIZIA PINI HILO HAPO JUU

CYRILL AMPA KUBWA BOB JUNIOR WA SHAROBARO


malumbano kati ya bob jonior na cyrill imechukua nafasi nyingine, baada ya raisi wa sharobaro kudai hamfaham cyrill, sasa amefuguka kupitia face book wall page yake

"Inawezekanaje kumtafuta mtu usie mjua??alafu unafanya interview ma elfu wanakusikiliza unasema humjui mtu uliemuomba aje afanye track nawewe tena kwa kuombaa sana,haarufu ya umaaarufu inawaponza watu kama hawa,kweli jamaa ana feli sana na hata kuifanya hiyo Sharobaro ichukuliwe kivingine.. sina bifu na jamaaa nilikua nataka kusolve situation ya miaka mitatu nyuma nayeye ila nimegundua ni vigumu kusolve situation na sh*ga..

HAPPY BIRTHDAY REUBEN AKA NCHA KALI

May you live long my brother

Monday, March 21, 2011

MOMBASA : SI MBUZI SI BINAADAM

FIVE KUBWA KULIKO ZA BELLE 9

5. Maumivu / Ben Po feat One   " Namfeel sana kuanzia utunzi wake na melody"

4. Tamaa Mbaya / 20% " Ni mtu ambae tungo zake ni fundisho sana na ni tofauti na mapenzi ambayo ndio mara nyingi tunaimba kwenye nyimbo zetu
3. Gold Digger / Jammie fox "Jmmie fox kuna dizaini flani ya vocals ambazo amezitupia mle ndani nazifeel sana
2.  Sumu yapenzi  / Belle 9 " hii ndio ngoma yangu kwa kwanza kabisa kunitambulisha kwenye game.

1. Nilipe Nisepe / Belle 9 " brand new track imetengenezwa Masanjuo records"
ISIKILIZE HAPO JUU



JIUNGE NAMI KWENYE UPANDE WA EMAIL AU SIO